Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,390
Shindii leo itabidi ulewe tu, usikilize shida zangu. Najua ukilewaga unatoaga ushauri mzuri🤣🤣🤣😅😅shindii nnayo huruma , ila now nakunywa kidogo mno kwa afya tu😅
Shindii leo itabidi ulewe tu, usikilize shida zangu. Najua ukilewaga unatoaga ushauri mzuri🤣🤣🤣😅😅shindii nnayo huruma , ila now nakunywa kidogo mno kwa afya tu😅
Kusema uongo kwako ni haram, unalijua hilo...Sidanganyiki.
Kwani meamkia wapi leo🙆♂️🙆♂️Kusema uongo kwako ni haram, unalijua hilo...
We ni kibaka wa moyo wangu, nakupenda mpaka nakupenda tena.
😅😅😅😅 kuna mtu leo kaniambia hivi , sema huwa naropoka sana shindiiShindii leo itabidi ulewe tu, usikilize shida zangu. Najua ukilewaga unatoaga ushauri mzuri🤣🤣🤣
hahahaha kumbe Yuko mdau humu humu ila unataka kutujaza🤣🤣🤣🤣
Hapanaaa, usinipange.
Bar ,bado tunazimuaKwani meamkia wapi leo🙆♂️🙆♂️
Hahahaha, Sasa mbn unakataa bahati ?unapenda kuwa singo eehSidanganyiki.
Hahahaha,shikiria hapo hapoKusema uongo kwako ni haram, unalijua hilo...
We ni kibaka wa moyo wangu, nakupenda mpaka nakupenda tena.
Uzuri tutakuwa tumelewa wote, hivyo pombe ikiisha hatutokumbuka🤣🤣🤣😅😅😅😅 kuna mtu leo kaniambia hivi , sema huwa naropoka sana shindii
🤣🤣🤣🤣 huyu mdau ashaniona mimi mnyonge wake. Nimekataa unyonge.hahahaha kumbe Yuko mdau humu humu ila unataka kutujaza
🤣🤣🤣🤣Bar ,bado tunazimua
Aaah we ulisikia wapi🤣🤣🤣Hahahaha, Sasa mbn unakataa bahati ?unapenda kuwa singo eeh
Hahahaha,usimfanyie hivyo mdau🤣🤣🤣🤣 huyu mdau ashaniona mimi mnyonge wake. Nimekataa unyonge.
Nasikia hapa hkn kwingineAaah we ulisikia wapi🤣🤣🤣
Hahahaha, Karibu ila uje na mdau nae azimue🤣🤣🤣🤣
Nakuja tuzimue wote.
Mdau alifichwa w.end nzima. Ndio kaibuka😭😭😭😭Hahahaha,usimfanyie hivyo mdau
🤣🤣🤣🤣Nasikia hapa hkn kwingine
Hapanaaa! Mdau akazimue alikolewea🤣🤣🤣Hahahaha, Karibu ila uje na mdau nae azimue
Kaishaanza kuleta pigo za binti maringo 😄🤣Hahahaha,shikiria hapo hapo
Hahahaha,imekula kwakeHapanaaa! Mdau akazimue alikolewea🤣🤣🤣