Heeeeeh! Kilaji tena!!Usilie kipenz, chukua kilaji kwenye friji utoe lock, huyu kijana jau sana.
Si ndio maana ninalia🙆♂️🙆♂️Wajameni. Usilie kama wa kukubembeleza anakuambia nenda kwq friji ukanywe fursana
Rafiki nimegundua niko singo😭😭😭😭Nini Tena kina kuliza Rafiki ?
Hahahaha,dah, imebidi nicheke kwa sauti Hadi mtu wa kaunta kanishangaa hapaRafiki nimegundua niko singo😭😭😭😭
Aaah unanicheka rafiki?🙆♂️Hahahaha,dah, imebidi nicheke kwa sauti Hadi mtu wa kaunta kanishangaa hapa
Hahahaha,cjakucheka nimefurahi tu, Rafiki,ila najua unatania Chitchat 😅Aaah unanicheka rafiki?🙆♂️