Asante sana binamu yangu
HallelujahDaah sijanywa beer nina miezi sijui ndio nataka kuokoka
WAKATI straika Kylian Mbappe akisumbua vichwa vya mabosi wa PSG hatma yake ikiwa haijulikani, taarifa zinadai mabosi wa klabu hiyo wapo kwenye mchakato wa kumsajili mshambuliaji wa Benfica, Goncalo Ramos mwenye umri wa maika 22, katika dirisha hili ili akaongeze nguvu eneo la ushambuliaji.
Huu ubize unanikosesha mamboo
Ujumbe wangu ulifika ?
Lee aliniambia nimuache kabisa...Naogopa hata kumtaja..