Makapuku Forum

Makapuku Forum

Club ya soka ya Simba imetangaza kumalizika kwa tiketi za mzunguko za Simba Day siku ya Jumamosi Jijini Dar es salaam ambako itacheza na Power Dynamo ya Zambia.

"Historia imeandikwa, kwa mara ya kwanza tiketi za mzunguko zimemalizika siku 3 kabla ya tukio.... kawaida Mzunguko humalizika siku ya tukio lakini safari hii mzunguko zimeisha mapema tena zimeisha kabla ya madaraja mengine wakati mara zote mzunguko ndo huwa za mwisho, asanteni sana wana Simba tukutane Simba Day" ——— ameandika @AhmedAlly_View attachment 2707737
Mpira ni biashara, sio mpira huruma

Tunakoelekea kiingilio kitakuwa cha kawaida ni 10k na tutazoea tu.
 
Nirudi nilipokuwa
IMG-20230804-WA0001.jpg
View attachment 2707808
 
Music unasikika vizuri Ijumaa. Niko pale naisubiri ijumaa yangu maana dunia ya mfalme Charles, kila mtu anafurahidei yake, yangu sio leo hata kama kalenda inalazimisha iwe hivyo. Acha Upendo utamalaki stranger.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom