Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Tambala bovu kupata kutokea[emoji153] Jezi bora na za viwango vya juu kutoka kwa 𝑴𝒏𝒚𝒂𝒎𝒂 [emoji881] #WenyeNchi #NguvuMojaView attachment 2695543
Tambala bovu kupata kutokea[emoji153] Jezi bora na za viwango vya juu kutoka kwa 𝑴𝒏𝒚𝒂𝒎𝒂 [emoji881] #WenyeNchi #NguvuMojaView attachment 2695543
Hahhahah ndio naweka[mention]Shunie [/mention] magazine Vp au upo busy na shemeji haya bana wenye wapenzi wenu
Sisi wengine tuendelee kupiga [mention]dronedrake [/mention] tu
Wapumzike kwa amaniJeshi la Polisi Mkoani Pwani limethibitisha vifo vya Watu wanne (Ndugu wa Familia moja) ambao wamefariki baada ya gari aina ya Toyota Prado walilokuwa wamepanda wakitokea Dar es salaam kwenda Same, Kilimanjaro kugongana uso kwa uso na Scania lililokuwa linatokea Arusha kwenda Dar es salaam.
RPC wa Pwani Piusi Lutumo amesema ajali imetokea saa nane usiku wa kuamkia leo eneo la Mapatano Kata ya Mbwewe Halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani na waliofariki ni Dereva wa Prado Neech Msuya (45-50), Mfanyakazi wa Benki ya ABSA na Mkazi wa Dar es salaam pamoja na Watu watatu waliokuwa kwenye gari hilo ambao ni Dayana Mageta(40-45), Norah Msuya (40-45) na Ndugu mwingine wa kike.
Kamanda Lutumo amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa Toyota Prado ambaye alihama upande wake na kugongana uso kwa uso na Scania “Mili ya marehemu wote imehifadhiwa katika Zahanati ya Lugoba kwa ajili ya uchunguzi na kutambuliwa na Ndugu”
View attachment 2707728View attachment 2707730View attachment 2707731
Kila la kheri KonkoniMshambuliaji mpya wa Yanga, Hafiz Konkoni amesema anahitaji muda kidogo kuzoea mazingira ya Tanzania na Ligi hiyo ili kuanza kuonyesha makali yake kwenye timu hiyo na amekataa kufananishwa na Fiston Mayele.
.
Nyota huyo amewataka mashabiki wa Yanga kuwa na subira naye na kumuamini yeye na wachezaji wengine ili waweze kufanya vizuri na kusaidia timu kufikia malengo yake msimu ujao wa 2023/2024.
.
Konkoni raia wa Ghana awali alikuwa chaguo la pili katika mchakato wa usajili nyuma ya Mcameroon, Emmanuel Dikongue, ambaye dili lake lilikufa baada ya kushindwana katika maslahi.View attachment 2707717