Makapuku Forum

Makapuku Forum

WAKATI timu kubwa barani Ulaya zikisuasua kutoa hela za kunasa saini ya nyota wa kimataifa wa Nigeria Victor Osimhen, inaelezwa Al Hilal imeweka mezani Pauni 120 milioni ili kuipata saini ya straika huyo wa Napoli dirisha hili.
.
Al Hilal imetuma ofa hiyo ikiwa ni siku kadhaa kupita baada ya kumshawishi nyota wa PSG, Kylian Mbappe ingawa aligoma kufanya nao mazungumzo. Pamoja na ofa hiyo ya Al Hilal kwenda Napoli, pia imepanga kumlipa Osimhen mshahara wa Pauni 1 milioni (Sh 3.1 bilioni) wiki.
.
Hata hivyo, licha ya dau la Al Hilal kuonekana kuwa ni kubwa, wataalamu wa mambo wanadai kuna uwezekano mkubwa likakataliwa kwani Napoli inadaiwa kuhitaji kiasi kisichopungua Pauni 170 milioni ili kumuuza.
Screenshot_20230802_074342_Instagram.jpg
 
FISTON MAYELE:

“ Nimeufuatilia usajili wa Yanga ambao wengi wachezaji nawafahamu akiwemo Maxi, ni kiungo mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza nafasi za mabao.”

“Lakini niwaonye kuwa Ligi Kuu ni ngumu, kwani timu nyingi zinaipania Yanga zinapokutana nayo, hivyo ni lazima wawe fiti kwa kufanya mazoezi mengi zaidi,” alisema Mayele ambaye ametimkia Pyramids ya Misri.View attachment 2705805
Huh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom