Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Sasa daktari akishafeli inakuwaje!!!🙆🙆🙆
Twafwaaaa!
Sasa daktari akishafeli inakuwaje!!!🙆🙆🙆
....ulishawahi kumuuliza daktari wako kama alifaulu mtihani wa bodi? Hawa ambao hawajafaulu wana nafasi nyingine ya kuirudia hii mitihani.Sasa daktari akishafeli inakuwaje!!!🙆🙆🙆
Twafwaaaa!
Wee nimuulize ili ugonjwa uongezeke!!!....ulishawahi kumuuliza daktari wako kama alifaulu mtihani wa bodi? Hawa ambao hawajafaulu wana nafasi nyingine ya kuirudia hii mitihani.
LOL!Wee nimuulize ili ugonjwa uongezeke!!!
Bora niamini tu anajua, kupona ni imani wakati mwingine😀LOL!
Right on, akishaitwa dokta tu basi unajiaminisha anajua