Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
Wamesahau kuniambia basi ila nashukuru sanaJioni utakuta salamu zangu mtoto mritoooo....nimeambiwa unaingia jioni
Wamesahau kuniambia basi ila nashukuru sanaJioni utakuta salamu zangu mtoto mritoooo....nimeambiwa unaingia jioni
He heHahahahahaha....sema umemis huna namna
We mzee bwana ni kucheka tuHahahahahaha
Hili ndo likawa PIGO kubwa kwa Yanga. Huwezi amini walihangaika kufukua mafaili ya zamani kupata picha ambazo wao pia walipeleka jezi mlimani. Wakasahau kwamba wao walipeleka jezi, siyo walizindua.
STRAIKA wa FC Lupopo, Mtanzania George Mpole anautazamia msimu ujao kufanya makubwa kwenye Ligi Kuu ya Congo, baada ya ligi iliyopita kufutwa, hivyo hakupata muda mzuri wa kucheza kama ilivyokuwa matarajio yake.
Bosi wa Singida Fountain Gate (SFG), Japhet Makau amesema usajili wa Benard Morrison ni suala la muda tu na mashabiki wakae kwa kutulia kwani mambo mazuri yanakuja zaidi msimu huu.
DROO ya hatua mbili za awali za mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, inachezeshwa leo huko Cairo, Misri kuanzia saa 8:00 mchana, lakini kabla hata haijafanyika, CAF, wameibeba Simba katika mambo mawili.
Simba imesajili kipa Mbrazil
Jefferson Luis akitokea Resende ya nchini kwao akitarajiwa kuwa namba moja au mshindani mkubwa wa Aishi Manula.Shangazi ,mie napenda tu, ila pia nafurahia maongezi yenu ,Uzi mzuri sana huuWe mzee bwana ni kucheka tu
Vita ya bandari Dar na bandari znz
STRAIKA wa Atalanta, Rasmus Hojlund, 20, anadaiwa kuwaambia watu wake wa karibu kwamba kabla ya mwezi huu kumalizika atakuwa amekamilisha dili la kujiunga na Manchester United.
He he tunashukuru we mzeeShangazi ,mie napenda tu, ila pia nafurahia maongezi yenu ,Uzi mzuri sana huu
Safi kbs ,mmeamkaje lknHe he tunashukuru we mzee