Sikuwahi kujua hili gazeti ni la CCM!
Hahahaha,'lile lenyewe'Sema pilau nmelimis ...lile lenyewwee
Hahahahahaha,Hakuna shida na jezi zimetoka naomba jezi 3 zote jamani
UmepataaaaaHakuna shida na jezi zimetoka naomba jezi 3 zote jamani
Sawa sawaWoyoooooòoo nakula kwanza alafu ndo nakula pilauuuuu...
Kudadeki, wakubwa wanafaidi sanaLee baba naomba jezi zote tatu pilau nitakupikia na mpishi wa pilau utamla sio kwa simba hii na jezi hizi![]()
Cheupeeeee peeeeeeKudadeki, wakubwa wanafaidi sana
Hatari sana,kula vinono mkuuCheupeeeee peeeeee
Nilijua umeandika viunooHatari sana,kula vinono mkuu
Kiuno,kinono,cheupee peeeeeNilijua umeandika viunoo
Ila we mzeeHahahaha,'lile lenyewe'

Ndio maaana nakupenda bwanahUmepataaaaa
