Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji599] WAKATI mashabiki wa Kaizer Chiefs ya Sauzi [emoji1221] wakiujia juu uongozi wa klabu hiyo kwa kumteua kocha mzawa, Molefi Ntseki, aliyekuwa Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amefunguka kilichomzuia asitue kwenye timu hiyo aliyokuwa kwenye mazungumzo nayo tangu aage Jangwani.
.
“Niliwaambia siwezi kukubaliana na maamuzi yao, kwani nilitaka wanipe nafasi ya kwenda angalau na wasaidizi wangu wawili muhimu ambao naamini watanisaidia ninavyotaka,” alisema Nabi na kuongeza;
.
“Niliona kuna ugumu hasa waliponiambia wapo watu pale wenye mikataba nao na kuivunja ni gharama kubwa, nikaona hawataweza kunisaidia nikaachana nao.”