Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
BANDA AOMBA CHAKE ASEPE
.
Winga Peter Banda [emoji1156] anadaiwa kugoma kupelekwa kwa mkopo katika timu nyingine akitaka avunjiwe mkataba kama hayupo kwenye mipango ya klabu hiyo.
.
Awali ilielezwa Banda alikuwa akitakiwa na Azam FC, lakini dili hilo linadaiwa kufa kimya kimya baada ya kusajiliwa Mgambia, Djibril Sillah. Banda anashinikiza alipwe chake asepe kama hayupo kwenye mipango ya kocha Roberto Oliveira.
………………