Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,116
- 1,249,272
alipogundua kuwa hali ilikuwa ni tete,na watu walikuwa wakiamishiwa kwenye maboti ili kuokoa maisha yao, bwana Charles Joughin akawashangaa watu wale kukimbia janga la meli kuzama na kusahau janga la njaa ambalo labda lingewakuta wakiwa kwenye maboti, basi mpishi yule akahakikisha kila boti lilikuwa likipata chakula.
Wakati huo Meli ya Titanic iliendelea kudidimia kwenye maji yenye ubaridi mkali zaidi ya friji, kwa nukuu za ofisa msaidizi wa meli ya Titanic aitwaye Lightoller alisema “kugusa maji ya bahari ya atlantic ilikuwa ni sawa na kuchomwa visu elfu moja mwilini”
Sauti za majonzi na vilio vya watu viliendelea kusikika, Bwana Charles Joughin aligundua kuwa hakuwa na mahali pakukaa kwenye maboti ya kuokolea , basi akarudi chumbani kwake nakuchomoa kinywaji aina ya whiskey,..mpishi huyo alikunywa na kujigalagaza.