Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Kutokana na hofu ya kuvamiwa na simba, Serikali ya Kijiji cha Lupembe Lwa Senga, Kata ya Lyamgungwe, wilayani Iringa imetoa rai kwa wananchi kurudi majumbani kwao ifikapo saa 11 jioni wakati jitihada za kumtafuta mnyama huyo zikiendelea.
Tangu Juni 13, mwaka huu simba hao waliingia kwenye makazi ya watu katika Kata ya Maboga na Kiponzelo, vilivyo karibu na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Ezekiel Mhhehe ameomba jitihada za kumsaka simba huyo ziongezeke ili kuondoa hofu kwa wananchi hao.
“Kijijini kwetu wamekula ng’ombe wawili, tunaomba jitihada ziongezeke kwa kweli tunaogopa sana, tunachofanya nikuwasisitiza wananchi watulie majumbani hasa kuanzia saa 11 jioni. Na kweli ikifika muda huo humkuti mtu mtaani,” amesema Mhhehe.
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Veronica Kessy amesema mpaka sasa simba wanakadiriwa kuua ng’ombe 25, kujeruhi wawili, mbuzi watano, kondoo watano, nguruwe watatu na kuku mmoja.
Baadhi ya wananchi wa kijiji hao wakizungumza na Mwananchi Digital jana Jumapili Juni 26, 2023, wamesema simba hao wakipatikana maisha yao yatarudi kwenye hali ya kawaida tofauti na sasa wakati hofu imetawala.

lilikataa ombi lake kwani hawakuamini kama mpira huo ni sehemu ya asili za Marekani. Soka Marekani limeanza kushika kasi miaka ya karibuni tofauti na nchi nyingine.

“Tutawatambulisha wachezaji wa kazi kwa ajili ya kutupa furaha Wanasimba, unajua hatukuwa na mwendo mzuri msimu ambao umeisha kwa kushindwa kufikia malego kwa asilimia kubwa.