Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
.
[emoji599] MBALI ya ofa nono ya zaidi ya Pauni 40 milioni kwa mwaka kutoka Saudi Arabia, mshambuliaji wa Crystal Palace, Wilfried Zaha, 30, amepokea ofa pia kutoka Lazio.
.
Staa huyu wa kimataifa wa Ivory Coast [emoji1081] mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa mwezi huu hadi sasa bado hajafanya uamuzi wa wapi atacheza kwa msimu ujao.