zimeshinda michuano mikubwa ya Ulaya 18 iliyopita ambayo zilikutana na timu za mataifa ambayo siyo ya Hispania, kuanzia ushindi wa Real Madrid dhidi ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani katika mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2002.
KOCHA NASREDDINE NABI :
mwingine ambaye anaishi nyumba moja na Chama, Phiri mwenye mabao 10 kwenye Ligi Kuu Bara naye anaishi Mikocheni jijini Dar es Salaam.
akiwa anatajwa kati ya wachezaji ambao walisajiliwa kwa kitita kikubwa cha fedha. Huyu anaishi kwenye mjengo Kawe Mzimuni, lakini tofauti kwake ni kwamba anakaa sehemu kubwa zaidi na analipa dola 800 kwa mwezi.
JUST IN: Kocha wa timu ya taifa ya Senegal Aliou Cisse amemjumuisha Kiungo mshambuliaji wa Simba, PAPE SAKHO katika kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya taifa ya Senegal
‘Simba wa Terenga’ kitachocheza mechi mbili, moja ya kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya Benin
na nyigine ya Kirafiki dhidi ya Brazil
.
anakaa na watoto wake watatu pamoja na mchumba wake. Staa huyo kwenye upande wa gari anatajwa kuwa mmoja kati ya watu wanaotumia magari ya bei ghali zaidi, kwa sasa akiwa anatumia Range Rover na BMW kwenye mihangaiko yake ya jiji la Dar es Salaam, lakini chanzo kinasema kuwa magari hayo ndiyo pia amekuwa akitumia akiwa kwao Zambia.