Makapuku Forum

Makapuku Forum

....mimi ni ajinabi wa kusini huko tunakula samaki wa mchangani.
Hiyo namba usinipe maana wewe ni kama mmasai siwezi kukuwekea dhamana nawasubiri TCRA wamalizane na Elon Musk wanipatie hiyo namba na siku hizi nina kishkwambi mdogo wangu kwa hiyo nitawaambia wanipe na email yake.

Naamini maisha yanakutendea haki mdau, pamoja sana. Ndugu yako nipo, jua likiwaka sisemi naungua
Samaki wa mchanga si ndio chamaki mchanga!!

Ndugu yangu dhamana uniwekee, siku hizi nina tabia za watu wa peponi.. 😂

Kidhati kabisa maisha bado hayajaanza kunitendea hakim, ila kwakua ni yangu unaishi nayo tu, Sina wa kumpa anishikie walau siku 3 hivi nipumue vema.
 
....mimi ni ajinabi wa kusini huko tunakula samaki wa mchangani.
Hiyo namba usinipe maana wewe ni kama mmasai siwezi kukuwekea dhamana nawasubiri TCRA wamalizane na Elon Musk wanipatie hiyo namba na siku hizi nina kishkwambi mdogo wangu kwa hiyo nitawaambia wanipe na email yake.

Naamini maisha yanakutendea haki mdau, pamoja sana. Ndugu yako nipo, jua likiwaka sisemi naungua
Binamu shikamoo
 
duh, kumbe ndiyo iko hivi. Inaweza kuwa imetafsiriwa kutoka anga za Kanada na Marikani wanakowaita 'aliens'.
Kwa hiyo Lee ni ajinabi hapa Bongo.

Makiwendo you are missed big time. Bado naendelea kuuliza kama TCRA wanawea kunipatia namba yako ya simu
Shunie mara zaote asante kwa magazeti na Je wajua
mkwepu jr popote ulipo kula chuma hicho, kivumbi leo , like-d the like
makaveli10 mdau veterani huna baya na mtu nakusalimia mwanaSimba

Makapuku, sehemu nzuri kabisa kuwepo sababu wewe upo
Nishapewa jin jipy?
 
Magazeti ya leo May 12, 2023
Screenshot_20230512_064413_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20230512_064438_Opera%20Mini.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom