Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
“Mimi ni muumini sana wa mchezaji wa 12 [mashabiki] matokeo kama haya yanaumiza, lakini hata sisi yanatumiiza. Mtu wa kwanza ambaye anataka matokeo ya ushindi ni Kocha na benchi lake la ufundi.”
“Inapotokea matokeo ya namna hii yanaumiza, niwaambie mashabiki wa Simba kwamba imetuumiza sote. Kikubwa ni kujipanga na kukaa chini kuangalia tulikosea wapi ili siku za mbeleni tuweze kufanya vizuri zaidi.”
- Juma Mgunda, Kocha Msaidizi Simba.

vs. Nottingham Forest
vs. Sevilla
vs. Spurs