Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
I hope so, kama nitafanikiwa kufika 😅😅😅Tutayaongea tukikutana si ndio eenh
I hope so, kama nitafanikiwa kufika 😅😅😅Tutayaongea tukikutana si ndio eenh
Tokea kumekucha, nautafuta huo Uzi tu. Hadi nimefikia hatua ya kuomba msaada kwenu 😅😅Yah!!!....Itakuwa...
Kweli inasikitisha natamani na mimi niisome..
Ooooooh...Humu humu yani. Jamaa hakuuweka kama story. Ni mtu kama alikuwa either anaomba ushauri au anaelezea tu yaliyomkuta.
Yani hapa nimekutana hadi na nyuzi za 2007, hadi kichwa kimeuma kwa kuchoka 😅😅.Ooooooh...
Ukiupata...Nitag na mimi tafadhali...
inatosha sanahapo sawa kwahiyo kujua salamu si inatosha sana
Tokea kumekucha, nautafuta huo Uzi tu. Hadi nimefikia hatua ya kuomba msaada kwenu![]()



Pole..Ha ha ha ha...Yani hapa nimekutana hadi na nyuzi za 2007, hadi kichwa kimeuma kwa kuchoka.
Uzi wenyewe wa juzi juzi tu
msaidiePole..
Mungu amsaidie tuAliuza vitu fulani vya baba ake, akapata ada na kwenda kusoma open university, post za ualimu akaomba apangiwe njombe
Nitamsaidia...msaidie
Utafika bwanaI hope so, kama nitafanikiwa kufika![]()
Ndio maana nakupenda we mzeeinatosha sana
Ngoja tuone 🤔Utafika bwana
Hahhaha me siku hizi sijui ndio uzee kwenye majukwaa mengine sitembei hata zaidi ya makapuku na entertainment
hahahaha,basi msaidiane,swahibaNitamsaidia...
Japo na mimi utakuwa mpya kabisa kwangu Swahiba..
kama mimi navyokupenda, means tunapendanaNdio maana nakupenda we mzee
Unavyopenda kujizeesha sasa 😅😅.Hahhaha me siku hizi sijui ndio uzee kwenye majukwaa mengine sitembei hata zaidi ya makapuku na entertainment
We mzee jamaniiihahahaha,basi msaidiane,swahiba

Wooozaaahkama mimi navyokupenda, means tunapendana