Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Unaenda wapi sasaEboooo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unaenda wapi sasaEboooo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Yanasaidia nini hayoMzigo unakata tuuuu [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2587380
Nitaanza kuwa naacha appreciationsNa wewe pia unapita kimyakimya kweli jamani
[emoji23] me sio mtoto ujue ni muhenga tena nimekula chumvi nyingi sanaaSiku ukiwa huna jero , unasoma vichwa vya habari tu.. nyie watoto mmeishi maisha mazuri sana.. [emoji28][emoji28]
Huku swalama kabisa. Ni heri kusikia upo njemaNamshukuru Mungu nipo vizuri hofu kwako tu
Barikiwa sana na karibu sana chautunduNitaanza kuwa naacha appreciations
Gram ngapi za chumvi umekula? 😅😅😅[emoji23] me sio mtoto ujue ni muhenga tena nimekula chumvi nyingi sanaa
Me mgeni wako leo. Pika chakula kingiBarikiwa sana na karibu sana chautundu
Huwa naupiga mixer na huu 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe una hamu na mimba eeh!! Wapi mie nineongelea mimba? Mie nilikuwa nazungumzia malaria!!!!Jamaniiii wa kunipa mimba mwenyewe yupo mkoani uko [emoji23] ebu niachee sina mimba
Nyingi sanaaa tatizo hamniaminiGram ngapi za chumvi umekula? [emoji28][emoji28][emoji28]
😅😅😅 haya muhenga[emoji23] me sio mtoto ujue ni muhenga tena nimekula chumvi nyingi sanaa
Chakula tu umepata sema kingine [emoji23]Me mgeni wako leo. Pika chakula kingi
Hata kilo hujafikisha mpaka sasa 😅😅😅Nyingi sanaaa tatizo hamniamini
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] haya muhenga
Na sehemu ya kulala pia. Mgeni nakuja na ujumbe mzitoChakula tu umepata sema kingine [emoji23]
Daaaah mimi huyo [emoji23]Hata kilo hujafikisha mpaka sasa [emoji28][emoji28][emoji28]
Usijali chumba cha wageni kipoNa sehemu ya kulala pia. Mgeni nakuja na ujumbe mzito
Yeah wewe 😅Daaaah mimi huyo [emoji23]
Natakiwa kuja na nini?Usijali chumba cha wageni kipo