Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,451
aah,hakuna wa kukupiga shangazi,sinaga mbebezi mimiwe mzee unataka nipigwe humu na bebez zako
aah,hakuna wa kukupiga shangazi,sinaga mbebezi mimiwe mzee unataka nipigwe humu na bebez zako
He heaah,hakuna wa kukupiga shangazi,sinaga mbebezi mimi
chini ya udhamini wa mtu chakeJe wajua inakujia na shunie shunie View attachment 2582739
mie nipo na weweHe he
ahsante kwa magazetiHaya jamani kumekucha salama tuamke na magazeti ya leo April 10, 2023View attachment 2582725
Naaaaamchini ya udhamini wa mtu chake
mie nipo na wewe
me ni naniiii nikupinge
Asante we mzee kwa kushukuruahsante kwa magazeti
ubarikiwe shangazi mrembo,mlibwendeAsante we mzee kwa kushukuru
karibuNaaaaam
Hahahah tubarikiwe sote we mzeeubarikiwe shangazi mrembo,mlibwende
na tuseme amen,Hahahah tubarikiwe sote we mzee
hahahahaTaasisi ya Dini ya Kiislam ya Al- Hikma Foundation ya Jijini Dar es salaam, imetanganza kuwaozesha Vijana 50 kwa kuwalipia mahari ambao bado hawajaoa kutokana na changamoto za kifedha na wapo tayari kutekeleza Ibada ya ndoa.
Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Sheikh Nurdini Kishki ameleeza hayo wakati wa Mashindano ya 23 ya Kimataifa ya kuhifadhi Qur’aan Tukufu yaliyofanyika leo April 09 2023, Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, yakihudhuriwa na Viongozi wa Serikali na Kidini huku Mgeni rasmi katika mashindano hayo akiwa ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Sheikh Kishki amenukuliwa akisema “Tutafanya ndoa ya pamoja Watu 50, mahari ya Vijana hao itakuwa juu yetu sisi Al- Hikma Foundation, sharti usiwe unaongeza Mke wa pili na ndoa itafanyika Dar es salaam chini ya Mufti wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally”
View attachment 2582747
Ameeenna tuseme amen,