Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi huyu we mzee binti mwali kigoli jamani nimecheka kweli akutukanaye hakuchagulii tusi na uzee huu nimekuwa binti mwali kigolibinti mwali kigoli
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi huyu we mzee binti mwali kigoli jamani nimecheka kweli akutukanaye hakuchagulii tusi na uzee huu nimekuwa binti mwali kigolibinti mwali kigoli
sikutukani wala sikutanii, ila wewe kwangu ni binti mwali kigoli tena[emoji23][emoji23][emoji23] mimi huyu we mzee binti mwali kigoli jamani nimecheka kweli akutukanaye hakuchagulii tusi na uzee huu nimekuwa binti mwali kigoli
swadakta,kwa kuliona hilo, shangazi ni kigoliMadam wewe ni binti kigoli, tena kigoli kweli kweli
mtu chake hajakosea😁
kwani nimesema uongo?We mzee bwana [emoji23] eti Mjep unamsikia mzee mwenzio anavyonitukana
Tena kigoli haswaaaa, anayebisha aje anipige nimekaa palee👉swadakta,kwa kuliona hilo, shangazi ni kigoli
Kumbukumbu mbaya sana kwa ndugu zetu wanyarwandaSometimes in april...kwibuka 29
sana tena sana,tuendelee kuwaombea waliotanguliaKumbukumbu mbaya sana kwa ndugu zetu wanyarwanda