Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23] hii kigoli nacheka sanaswadakta,kwa kuliona hilo, shangazi ni kigoli
[emoji23] hii kigoli nacheka sanaswadakta,kwa kuliona hilo, shangazi ni kigoli
Uongo bwana na uzee na ukigoli wapi na wapi we mzee jamanikwani nimesema uongo?
[emoji23] [emoji23] na ukipigwa hatuji tunakuacha uendelee kupigwa tuTena kigoli haswaaaa, anayebisha aje anipige nimekaa palee[emoji117]
nasema kweli daimaSema kweli we mzee
mmh we ni kigoli haswa,ndo sababu humu sitokiUongo bwana na uzee na ukigoli wapi na wapi we mzee jamani
mnapiga watu?[emoji23] [emoji23] na ukipigwa hatuji tunakuacha uendelee kupigwa tu
hahahaha[emoji23] hii kigoli nacheka sana
Asante binamu na kwako pia naona wote mmelikimbia jukwaaHeri ya Pasaka wadau wema wa Jukwaa hili adhimu.
Ni kweli, Amefufuka
[emoji23] we mzee unataka nipigwe humu na bebez zakommh we ni kigoli haswa,ndo sababu humu sitoki
Msome alivyosema we mzee utaelewa jamani nilivyomjibumnapiga watu?