Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Watoto wawili wa Familia moja Anuari Salum (5), Mwanafunzi wa Darasa la Awali Shule ya Msingi Manzese na Nurat Shabani (12) Mwanafunzi wa Darasa la Sita Shule ya Msingi Mazinyungu Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefariki baada ya kugongwa na gari wakati wakiwa pembezoni mwa Barabara wakisubri kuvuka.
Ajali hiyo imetokea eneo la Mazense Kata ya Mkwatani Wilayani Kilosa, Morogoro Barabara ya Kilosa - Dumila ambapo gari dogo lenye namba za usajili T I63 DJH liliacha njia na kuwafuata Watoto hao wakiwa pembezoni mwa Barabara.
Akiongea na @ayotv_ kwa njia ya simu RPC wa Morogoro, Alex Mkama, amesema chanzo cha ajali ni mwendokasi wa Dereva aliyekuwa anaendesha gari hilo, Endishi Christian (41).
Dereva huyo kwa sasa anaendelea kushikiliwa na Polisi na upelelezi utakapokamilika atafikishwa Mahakamani.

(Clatous Chama na Sadio Kanoute) wamechagulia kuwania nafasi ya mchezaji bora wa wiki katika mzunguko wa 5 CAF.
HAIJAWAHI KUTOKEA: Kikosi Bora cha WIKI hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika timu moja ikatoa wachezaji WANNE. 

imefanikiwa kuchukua ubingwa huo mara moja tu mwaka 2005 ikiongoza Kundi C, Rivers ya Nigeria
inaongoza Kundi B lakini ikiwa haijafuzu bado, haina makali ikiwa ni timu changa zaidi kwenye michuano hii na haijawahi kufika hatua hii ya robo fainali.
nayo inalingana pointi na Rivers lakini ikiwa imeishia Nane Bora kwenye michuano hii ikiwa haina makali sana. Timu nyingine ambayo haina makali lakini ipo kileleni ni Marumo ya Afrika Kusini
ambayo imeanzishwa mwaka 2021 ikiwa ndiyo mafanikio yake makubwa, zote ni kati ya timu ambazo zikikutana na YANGA inaweza kuzichapa na kwenda hatua ya nusu fainali.