Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
SIMBA na Yanga zinahitaji ushindi tu katika mechi za klabu Afrika dhidi ya Horoya na Monastir mwishoni mwa wiki hii ili zitinge robo fainali.
Lakini kabla ya hilo kutimia, tayari timu hizo zimeshaipa neema Tanzania baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.
Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja wakati kwa Yanga kuwepo kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi 0.5.
Timu hizo mbili zimefanya Tanzania iwe na pointi 29 na kushika nafasi ya tisa katika viwango vya mafanikio ya nchi kutokana na ushiriki kwenye mashindano ya klabu Afrika ambavyo nchi 12 zilizo juu ndizo kila moja inapata nafasi nne za uwakilishi kwenye mashindano ya Afrika.

“Kama akifunga hat-trick mbili (mabao 6) katika umri wa miaka 22, 23, atakinai katika maisha yake. Atakuwa hana malengo ya kuyafikia huko mbele. Ndio maana nikamtoa alipofunga mabao matano,” kauli ya kocha Pep Guadiola akitoa sababu ya kumpumzisha Erling Haaland na kumnyima nafasi ya kufunga zaidi katika ushindi wa Man City wa 7-0 dhidi ya RB Leipzig juzi.
!