Mkongwe wa kupiga gitaa la rythm kutokea nchini Congo, Lokassa ya M'bongo (80) amefariki dunia Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua muda mrefu.
Lokassa ambaye alikwa kiongozi wa bendi maarufu ya Soukous Stars alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.
Lokassa atakumbukwa kwa nyimbo kali ambazo alishiriki kuziandaa na kupiga gitaa kama Bonne Annee, Monica, Marie-Josse na Assito
GENTAMYCINE natamani uje umuelezee kidogo hii sekta nakukubali sana nakumbuka kuna siku jukwaa la Entertainment nilikukuta unawaelezea wacongo siwakumbuki nilitamani tu uendelee kuwaelezea
View attachment 2553220