Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,492
- 176,552
Wanyakyusa sababu ya pua au?Haha si nimefichwa na wewe
Mi naonaga mnafanana tu asee
Ujue binafsi kuna makabila baadhi ya watu wake nikiwaona tu kwa mara ya kwanza, naweza kuhisi huyu atakuwa kabila fulani na unakuta asilimia kubwa inakuwa kweli, mfano wanyakyusa, wachagga, wamasai, waluo, nk kutokana na kwamba wengi wanafananafanana
Kweli wachaga, wambulu na wamasai wako na sura zao.


