Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,572
Kitambi hakiwashi😂😂Ebu shangaa auntie yani hapo kutokumwagilia moyo watawakosa wateja wengi sana
Kitambi hakiwashi😂😂Ebu shangaa auntie yani hapo kutokumwagilia moyo watawakosa wateja wengi sana
Kwani ni yapi auntie😂😂😂We auntie jamani kwani hayo maputo ni haya ya kawaida
Mwenyewe sijui nasikia maputo tuu sasa sijui haya ya kawaida au vipiKwani ni yapi auntie![]()
Na sio pombe mpaka soda hautakiwi kunywaLooh kumbe hilo puto halitaki unywe pombe halinifai basi
Kama ina mambo ya mnyanduano usiniite hata kwa bahati mbaya aseeHalafu kuna story mpya entertainment ya Steve mollel sema inatisha ukisoma usiku
Eti milioni nne!! Wooooi!Mwenyewe sijui nasikia maputo tuu sasa sijui haya ya kawaida au vipi
Aahh mtuache na pua zetu personal za KikuhaniNi kweli hata dada yako Mnys hana pua ya kinyakyusa.
Sasa kaka Liii alikwamba wapiii![]()


Ndio kuna principles zake katika kupaisha unatakiwa uzimaster vizuriWoooi!! Yaani ungo miezi miwili yote hiyo![]()
S6!!! Unahangaikaaa😂😂😂
Woooi!! Basi sitaki.Ndio kuna principles zake katika kupaisha unatakiwa uzimaster vizuri
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Soda sawa lakini pombe tunaomba wajiheshimu kwakweliNa sio pombe mpaka soda hautakiwi kunywa
Khaaa story za mnyanduano za nini mimi hata kusoma huwa sizisomi inatisha usimualiaji wake sio mambo za mapenzi na hakuna mapenzi kabisaKama ina mambo ya mnyanduano usiniite hata kwa bahati mbaya asee
Eenh kupungua bila stress puto tu linafanya kaziEti milioni nne!! Wooooi!
Wala ni ile ile sema sijui kwanini wameiita S6, ndio maana sipendi haya masignature sijui nalitoaje yani napata tabu, kila comment nayoandika nikipost lazima niedit Kufuta hiyo japo kuna muda inatoka yenyewe tuS6!!! Unahangaikaaa![]()
AkuuuuEenh kupungua bila stress puto tu linafanya kazi
Oohh hapo sawa mwanastory mwenzangu, hebu naomba nitag huko maana sasa hivi story pekee niliyobaki nayo ni ya BM baada ya UMUGHAKA kumaliza, sema naye kutupia episode ndio hivo tena mpaka roho mtakatifu aingilie katiKhaaa story za mnyanduano za nini mimi hata kusoma huwa sizisomi inatisha usimualiaji wake sio mambo za mapenzi na hakuna mapenzi kabisa
Nakuonaga unapenda story ndio mana nimekwambia
Njoo nikufundishe😂😂😂Wala ni ile ile sema sijui kwanini wameiita S6, ndio maana sipendi haya masignature sijui nalitoaje yani napata tabu, kila comment nayoandika nikipost lazima niedit Kufuta hiyo japo kuna muda inatoka yenyewe tu
Mie siku hizi sina mood kabisa.Oohh hapo sawa mwanastory mwenzangu, hebu naomba nitag huko maana sasa hivi story pekee niliyobaki nayo ni ya BM baada ya UMUGHAKA kumaliza, sema naye kutupia episode ndio hivo tena mpaka roho mtakatifu aingilie kati