Makapuku Forum

Makapuku Forum

Farhan Jr

ANGUKO LA CRISTIANO RONALDO NA DUNIA YA SIRI.

Watu wamelala lakini dunia haijawahi kulala na mambo mengi ambayo hutazamwa kwa jicho la kawaida ila yana uzito mkubwa kwenye dunia ambayo haionwi kwa jicho la kawaida, Cristiano was the agenda of the day.

Wakati matukio mengi yakiwa yameunganishwa jumlisha na lile tukio la kukataa kile kinywaji baridi tena hadharani ilisababisha anguko kubwa la soko lake, ile pia ilichochea kuni kwenye moto! Atlanta based institution haikuvutiwa hata kidogo.

Mind you downfall ya mtu yoyote haitokei mbali, huanza na watu wako wa karibu sana ambao wewe unawaamini sana ama watu ambao wewe wanakufahamu sana! Alianza Wayne Rooney kila akipewa kipaza alikuwa anaweka heshima kwanza kisha diss mbele, inabidi uwe mtulivu mno kuyaelewa maneno ya Wazza + Body language.

Kisha taratibu Cristiano akaanza kupishana na Wakala wake Jorge Mendes ambaye wamefanya wote kazi tangu akiwa Junior kabisa, Ronaldo aligundua hilo wengi hawafahamu kuwa wawili hao wanaishi kizungu tangu 2018 baada ya CR7 kuondoka Madrid, Ronaldo alichokifanya aliongeza Watu anaowaamini kwenye Menejimenti yake ili awe na amani.

Meneja wake binafsi Ricky Regufe aliongezewa majukumu na alikuwa anafahamu vingi kuhusu Ronaldo kuliko Mendes kama haitoshi alikuwa anaenda nae mpaka kambi ya timu ya taifa, kisha Mwanae mmoja anaitwa Semedo ambaye ndio wakawa wanasafiri wote kila sehemu.

Kuna baadhi ya matukio ambayo walianza kuyafahamu tangu ilipovuja issue yake ya kutoa fedha kwa Palestina 2012, ndipo hapo umakini taratibu ukaanza kuongezeka ila CR7 akaongeza zaidi ukaribu na mataifa ya Mashariki ya kati (Mataifa ya Kiarabu) binafsi anaamini ndio sehemu sahihi kwake.

Sasa awali nilisema demise yoyote hutengenezwa na watu wa karibu ndio maana matukio mengi tata huanza kuhisiwa watu wa karibu, mfano hata kifo cha Michael Jackson alihisiwa zaidi Daktari wake Conrad Murray, wengi huamini plotting yoyote haitokei mbali.

Ronaldo na Mendes walipishanaje? Inaanzia mchana mmoja jijini Madrid, Rafiki wa Ronaldo ambaye ni Mwandishi Edu Aguirre….

ITAENDELEA!
Screenshot_20230127_053334_OGInsta%2B.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom