Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20230118_063219_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20230118_063237_Opera%20Mini.jpg
 
....naam anko, ndugu yako nipo sawa sana, nashukuru kwa kutonijulia khali. Mimi nimeulizia nikaambiwa simu hauko nayo, nilipopiga akapokea alyepokea siku ya mkesha wa mwaka mpya
Nachoweza kusema na ukanielewa ni kuwa sorry anko ...
Alafu ulipona ? Nilikuwa sikujulii hali kwa sababu ugonjwa ulijitakia mwenyewe
 
Nachoweza kusema na ukanielewa ni kuwa sorry anko ...
Alafu ulipona ? Nilikuwa sikujulii hali kwa sababu ugonjwa ulijitakia mwenyewe
...sasa anko, mbona tulielewana kabisa kuwa pale nilitegeshewa. Japo nashukuru kwa kuniletea dawa lakini ugonjwa ni siri na unajua huu mwaka ndugu yako najielekeza milimani japo inbox sijibiwi hata salamu tu za mwaka mpya sijapewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom