Makapuku Forum

Makapuku Forum

THE FUTURE OF BARCELONA KWENYE PICHA MOJA

FT| REAL MADRID 1-3 BARCELONA

Barca ndio mabingwa wa Spannish Supercup
Screenshot_20230116_043439_OGInsta%2B.jpg
 
Kulikuwa na tukio la Golikipa wa Arsenal, Aaron Ramsdale ambapo alionekana akigombana na Richarlson wa Tottenham na baadae akapigwa teke mgongoni na Shabiki wa Spurs.

Kwenye interview anasema Mashabiki wa Spurs walianza kumsema mbovu wakati mchezo unaendelea, hivyo nae alilipa baada ya dakika 90 kwa kwenda kubusu beji ya Arsenal mbele yao, anashangaa wakageuka wakali na kusahau walichomfanyia awali.
Screenshot_20230116_043539_OGInsta%2B.jpg
 
OFFICIAL: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki kitasa raia wa Mali, Mamadou Doumbia aliyekuwa Stade Malien kwa mkataba wa miaka miwili.
Screenshot_20230116_043804_OGInsta%2B.jpg
 
DEAL DONE: Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Congo Jean Baleke Othos (21) kwa mkataba wa miaka miwili.
.
NB: Baleke atacheza Mechi za Ligi ya Mabingwa CAF

Screenshot_20230116_043925_OGInsta%2B.jpg
 
THE GUNNERS WAMOTO
.
HT: TOTTENHAM 0-2 ARSENAL
️ Lloris 14’ (Og)
️ Odegaard 36’

Screenshot_20230116_044111_OGInsta%2B.jpg
 
Farhan Jr

JEAN BALEKE, the streets have been looking for the ADMN! Yes am here because the Hunter has arrived, habari ya Lebanon, pole na safari! Hujambo na karibu Tanzania, nchi ya @baraka_mpenja na ndio nchi ya Mashalove.

JEAN unaitwa JOHN, asili ya Jina lako kwa sisi watoto wa Mungu ni Kiebrania kutokana na jina Yochanan ikiwa na maana Mungu ni mwema! Una jina la kitakatifu lakini ni Mchawi zaidi ya Gambosh mbele ya Makipa, Aishi knows ball! He says you are exceptional.

Nani kumfunga Fiston Mayele kengele? Uliwaambia Simba una hiyo dawa, email za klabu ilizijibu kwa madaha sana kuwa ni muda wa kuzima mziki na kuiacha miluzi ya DJ @djallybi isambae, utamaliza ubishi mapema sana kama Mkubwa Kipanya @masoudkipanya akidamka kuianzisha Power Breakfast ya @cloudsfmtz

The streets have been screaming for the real deal! Well you are the deal, muda wa Maprofesa UDSM mpaka Mzumbe wapi UDOM na Ardhi kubadili coursework kutoka 16 mpaka 21 ooh sorry! Ni muda wa Wahitimu kutumia clip zako kama sehemu ya CV zao wakiomba Internship kwenye ofisi za umma, kwakuwa Jean Baleke is for everybody.

Ni muda wa kuandika upya vitabu vyetu, wapo wenye hofu na uwezo wako, wapo wenye shaka na CV yako lakini dhahabu safi huoshwa kwa moto! There will be haters lakini ishi nayo Impossible is nothing.

Ni muda wa Mabeki kurejea tena notes za Walimu wao Grassroots kuhusu Basics of defending, ni muda wa Walimu kurejea tena notes za DARK ARTS miaka 100 nyuma huko Italia na Austria, kwakuwa ndio muda wa Mabeki kula mishahara yao kihalali, no stone will be left unturned.

Karibu Tanzania, nchi ambayo Wanyakyusa wamejazana Makumbusho wanauza Iphone na kuzisifia bus za Sauli

MMEENJOY??___

Screenshot_20230116_044847_OGInsta%2B.jpg
 
Farhan Jr

CAPTAIN MARTIN ODEGAARD, narudi tena karne ya 16 wakati dhehebu la Lutheran lilipoanza chini ya Martin Luther yes! That German Monk alipingana baadhi ya vitu na Wakatoliki kama ambavyo ulipingana na Real Madrid kuhusu kukaa bench, uliona una nafasi ya kucheza, uwezo na kipaji pia unacho! Ukiwa na miaka 16 tayari ulikuwa na lebo ya Galactico, Ustaa umeupata ndani ya North London rasmi.

Martin Luther wakati anaanzisha Lutheran alisema vitu vitatu ambavyo ndio misingi yao ni Grace alone, Faith alone, Scripture alone! Nami pia naiona misingi kama ya Mtangulizi wako Monk wa Kijerumani Talent alone, Hardwork Alone! Leadership alone! Misingi mitatu ambayo wakikuona uwanjani Viungo wote na Mabeki wanaamini the problem is here, it has to be solved.

Talking about the BOSS ila sio Hugo wala Mkubwa Fella ni Captain Martin kwenye dimba! Arsenal are saying Goodbye to yesterday right? Tomorrow is ready and you are there for tomorrow, Wahariri wamebadili sana script walisema ni upepo, wakasema ni zari lakini sasa wanasema Arsenal mean business!

Hatuwezi kuizuia Arsenal kama ambavyo Mbabe kama Hitler hakuweza kuzuia kifo, kama ambavyo hatuwezi zuia muda lakini tunaweza kusimamisha mshale wa saa, the clock is ticking, tik tok ticking! Arsenal wamesimama kileleni, wamemaanisha.

Mpira mwingi mzuri kama Hamisa Mobetto ndani ya pyajama, kama Oruma na daladala, kama Majuto na Wajukuu zake, kama Farhan na Morogoro yake! Muite Mwanao Shabiki wa Arsenal muda wa kucheza na kufurahi kama Waislam na Eid au Wakatoliki na misa ya Mavuno, glory days are here!

ARSENAL ARSENAL ARSENAL! Tears in my eyes

Screenshot_20230116_044959_OGInsta%2B.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom