makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,488
Hii ni komoni, mataputapu, wanzuki, gongo ama ni chimpumu?....pale umeme unapokatika halafu unawasha jenereta.
Ile sauti inayosikika ndiyo kuzibua masikio, hachelewi kunasa ingine. Alisikika mlevi mmoja anayekaa jirani na zahanati
Mtu mwenyewe hata donda halijapona, ila nasubiri apone tu, niweke......aangalie tu asimbemende.
[emoji23][emoji23][emoji23]Aunt bhana!Kumbe ni wewe leo ndio nimejua
hahahahahaMwezi wa kuku lini, maana ukiisha huu unafata mwezi wa mboga za majani😂
Hongera shemelaNdugu zangu, namshukuru Mungu nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume
Shemeji yenu, wifi yenu, shangazi yenu a aendelea vizuri.
Mkimuona obe, mumpe taarifa
Makapuku ni familia yangu.
Mekumiss teacher Tumosa[emoji3526]
Yaaan mkuu muhimu waniwekee energy drink make.ntafika nimechoka sana😂 😂 😂
Ufalme wa mbingu utausikia tu 😂
Binamu jana alilala na muuza vifurushi wa pale tazara , najua unaelewa kilichotokeaHii ni komoni, mataputapu, wanzuki, gongo ama ni chimpumu?
Araaaa yuuuu yuuu?Hongera shemela
Kweli bwana yaani umenipa kazi sana ya kukujua[emoji23][emoji23][emoji23]Aunt bhana!
Binamu tuache masihara, yaani nimeku-miss hadi najisikia kuugua kwa kweli!Je wajua inakujia na shunie shunie mtoto mlito mlito [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Binamu nimekumiss mnoooo [emoji8][emoji8][emoji8] ila hiyo ya kunicheck mburahati kiukweli nimecheka sanaaaa ebu fanya ukujee tu tatizo binamu yangu siasani kunakuweka busy sanaaaaBinamu tuache masihara, yaani nimeku-miss hadi najisikia kuugua kwa kweli!
Bado upo Mburahati binamu ili nije kukucheki 🙄?!
....duh, ujue aliniambia yeye anafanya kazi bank vile vifurushi alikuwa kamshikia mdogo wake. Kanipa mawazo sana muda huuBinamu jana alilala na muuza vifurushi wa pale tazara , najua unaelewa kilichotokea
😂Yaaan mkuu muhimu waniwekee energy drink make.ntafika nimechoka sana
Aayah.. Ndioo ushathubutu kukutwa na Bwana pepsi....duh, ujue aliniambia yeye anafanya kazi bank vile vifurushi alikuwa kamshikia mdogo wake. Kanipa mawazo sana muda huu
Shida ndugu yangu hachagui habagui kawa bao zoa zoa😂Binamu jana alilala na muuza vifurushi wa pale tazara , najua unaelewa kilichotokea
Ni ukooShida ndugu yangu hachagui habagui kawa bao zoa zoa😂
Ile ya kiba😂
Ya mo au azam.