Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
MARTINEZ NDO BASI UBELGIJI
.
Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji [emoji1045] aliyeinoa kwa muda mrefu, Roberto Martinez, ameachia ngazi baada ya kutolewa kwenye fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea huko Qatar, huku ikielezwa ubovu wa kikosi na masupastaa kutojituma vikitajwa kumwangusha.
.
Martinez alithibitisha mchezo dhidi ya Croatia waliotoka suluhu kuwa ulikuwa mwisho kwake kukalia kiti cha ukocha. Martinez alisema kuondolewa mapema katika michuano hiyo lilikuwa pigo kubwa kwake na Wabelgiji kwani wameshindwa kutinga raundi ya 16 bora na kuzua gumzo Kubwa.