Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndugu zangu, namshukuru Mungu nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume
Shemeji yenu, wifi yenu, shangazi yenu a aendelea vizuri.
Mkimuona obe, mumpe taarifa
Makapuku ni familia yangu.
Hongera sana ndugu , yaani hongera mno.

Binafsi namtakia mema yote huyo mtoto akakue katika makuzi sahihi kwa wakati sahihi, akawa mwanaume katika wanaume, akawe mkamilifu katika ukamilifu wote.

Hongereni tena muwe na moyo mzuri wa malezi bora kwake.
 
Ndugu zangu, namshukuru Mungu nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume
Shemeji yenu, wifi yenu, shangazi yenu a aendelea vizuri.
Mkimuona obe, mumpe taarifa
Makapuku ni familia yangu.
....kaka Makaveli hongera sana kwako na bibie.
Zawadi nzuri na ni furaha kwa wote.
Hongereni sana kwa ujio wa fungu hili la furaha.
Nakutakia kipato, afya na uwezo wa kumtunza mtoto huyu katika njia sahihi.
 
..tugange yajayo aunt, achana na mabaya yangu, tafuta lile moja zuri halafu ndiyo uliuze kwa Maki, yaani hilo zuri moja (kama lipo) lipeperushe kama shahada ya mama. na nikikubaliwa tu basi nakufanyia mchongo na wewe unapata PHD.

Kwanini shahada ya Mama sasa jamani?
 
Hongera tena na tena Mwenyekiti..
Mungu na akukuzie..
Amin ndugu mjumbe, kangekuwa ka kike nahisi ningekaita makiwendo, shunie, reymage au Zurie

Sasa ni kidume nawaza kati ya Obe na Lee nimchagulie jina gani.. Toka jana napiga ana ana do ila sipati jibu, narusha shilingi ila inatua imesimama, haiangukii bichwa wala mwenge. 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom