Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,630
....jina zuri ila mara moja moja unampeleka kijijini akaondoe u-junya (inatakwa hivyo)Bora huyu mtoto aitwe makaveli Jr.
....jina zuri ila mara moja moja unampeleka kijijini akaondoe u-junya (inatakwa hivyo)Bora huyu mtoto aitwe makaveli Jr.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...tabia za mtu mtiifu, mlipa kodi mwaminifu, asiepokea wala kuomba rushwa hadharani (nafasi yangu kazini bado sijafikia cheo cha kupokea rushwa-mniombee nikipate nianze kula kwa urefu wa kamba), tabia ya kwenda kanisani huku nikiwa na namba za mganga na mpiga ramli. Tabia nzuri ya kuoga nimevua nguo.
Hizi tabia zote ni za kurithi na Lee ni ndugu wa damu sema ulevi umetutenganisha.
Halafu makaveli10 huu ni wakati muafaka wa kuacha kubet, pampus zimepanda sana bei
Usinikumbushe bado nina msalaa...mwendo wa kukumbatia mitoha ahhahaa, kuna ile siku umejikataa baada ya kufumaniwa kule uhindini.
ha ahahah, sitakukumbusha maana hata jina ulilochagua ilibidi nikachekee kule kwa yule wakala mrembo mweusi mweusiUsinikumbushe bado nina msalaa...mwendo wa kukumbatia mito
Shida siku hizi mabibi wote wapo mjini, nitampeleka msituni akawe tarzan....jina zuri ila mara moja moja unampeleka kijijini akaondoe u-junya (inatakwa hivyo)
Kubet nishaacha ndugu yangu, ule mchezo hauna adabu, bora nicheze kibaba kuliko kubet....tabia za mtu mtiifu, mlipa kodi mwaminifu, asiepokea wala kuomba rushwa hadharani (nafasi yangu kazini bado sijafikia cheo cha kupokea rushwa-mniombee nikipate nianze kula kwa urefu wa kamba), tabia ya kwenda kanisani huku nikiwa na namba za mganga na mpiga ramli. Tabia nzuri ya kuoga nimevua nguo.
Hizi tabia zote ni za kurithi na Lee ni ndugu wa damu sema ulevi umetutenganisha.
Halafu makaveli10 huu ni wakati muafaka wa kuacha kubet, pampus zimepanda sana bei
Una spana namba ngapi?Nakaziaa auntie
Mwezi wa kuku lini, maana ukiisha huu unafata mwezi wa mboga za majani😂sawa sawa ,mwezi wa bata
Wapi hiyo Bangladesh au?... ha hahhahahaah jinga sana veve, nimekaa hapa nakula paliti
Nipe maelezo 😂Usinikumbushe bado nina msalaa...mwendo wa kukumbatia mito
Na ban tena dear pole cocaTupoooooooooo!!!!!!!![]()
Usiombe mkuuNipe maelezo 😂
Hapo ndo unapokosea mjomba wangu damu yako kama sio ya ukoo ? Make wote tuna plus wewe neg ukaiokota wapiha ahahah, sitakukumbusha maana hata jina ulilochagua ilibidi nikachekee kule kwa yule wakala mrembo mweusi mweusi
.....aangalie tu asimbemende.Usiombe mkuu
Ushamzibua mtoto masikio 🤣🤣🤣???
Kwani kuzibua masikio ni nini?.....aangalie tu asimbemende.
....pale umeme unapokatika halafu unawasha jeneretaKwani kuzibua masikio ni nini?
....pale umeme unapokatika halafu unawasha jenereta.Kwani kuzibua masikio ni nini?
Binamu ni kweli au bado hujatoka uliponambia upo jana....pale umeme unapokatika halafu unawasha jenereta.
Ile sauti inayosikika ndiyo kuzibua masikio, hachelewi kunasa ingine. Alisikika mlevi mmoja anayekaa jirani na zahanati
😂 😂 😂Usiombe mkuu
Ushamzibua mtoto masikio 🤣🤣🤣???