Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hawashikiki hizi sikuHapo kwenye suala la vicoba hapo, asinisuse.
Hawashikiki hizi sikuHapo kwenye suala la vicoba hapo, asinisuse.
Tutamshika tu, sisi ni yeye na yeye ni sisi.Hawashikiki hizi siku
He he he....Na wewe pia
Vicoba mnavunja lini nipate juis

Unataka kuninyima nini
Miss you Shem lake..
Tuko nanyii Bega kwa mgongoHe he he....
Huu ndiyo ule mwezi tunaitwanga na majina hatujawahi itwa![]()
Kitufye cha kukatia simu hakifanyi kazi.
Tuko site
Kumbe ni wewe leo ndio nimejuaMekumiss teacher Tumosa![]()
Asante auntie na kwako piaWishing you Happy New Month watu wa Taifa la Mungu....
Baraka tele.

Naaam waswahili huwa hawakoseagiShunie waswahili wanasema, mambo yakienda kombo, yaache usiende nayo.
Nakaziaa auntie
Angekuwa wa kike kweli jina tayari tunalo...
Ila wa kiume hayo majina hapo Usijaribu![]()
hahahaha,ukamalizia urusiHe he tuliosoma Cuba tumekuelewa we mzee
sawa sawa ,mwezi wa bataNipo Swahiba....
Mwisho wa mwaka tu huu...
Mambo ni mingi na masaa ni machache..
Tupoooooooooo!!!!!!!Decwenye mwezi wetu mtamuuu , dec babes mpoooo
![]()







...tabia za mtu mtiifu, mlipa kodi mwaminifu, asiepokea wala kuomba rushwa hadharani (nafasi yangu kazini bado sijafikia cheo cha kupokea rushwa-mniombee nikipate nianze kula kwa urefu wa kamba), tabia ya kwenda kanisani huku nikiwa na namba za mganga na mpiga ramli. Tabia nzuri ya kuoga nimevua nguo.Mkuu congratulations once again ...
Hapo kwenye majina mkuu🤣🤣🤣 Obe Mtoe kabisaa , asije kubeba tabia zake
... ha hahhahahaah jinga sana veve, nimekaa hapa nakula palitiMajina yenyewe yamekaa kinongwa nogwa, majina yana herufi 3, mafupi kama tunguri za mganga 😂
ha ahhahaa, kuna ile siku umejikataa baada ya kufumaniwa kule uhindini.Lee hapana mwenyewe kuna mda najikataa...sembuse huyo angel