Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20221204-042829_OGInsta%2B.jpg
 
Mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri amefikisha mabao 10 kwenye ligi na kufikia idadi sawa na Fiston Mayele wa Yanga.
Phiri amefunga mabao hayo katika mchezo dhidi ya Coastal Union unaondelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

75' Coastal 0-2Simba
️' Phiri.
Screenshot_20221204-043904_OGInsta%2B.jpg
 
“Sijui huyu naye aliwazaje. Kadakwa.....” Waziri Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum, Dk Doroth Gwajima aliandika na kuongeza,
"Yaani kwa jinsi taarifa zinavyotufikia toka kwa wananchi kuhusu watu wasiotii sheria, sisi kazi yetu kurejesha kwa wakuu wa mikoa. Mkuu wa Mkoa wa Mara ahsante sana wewe na timu yako... Jamani tunaelimisha madhara ya ukeketaji bado wengine wamegeuza biashara kabisa sijui kwa faida ya nani.... Halafu sasa wanalazimishwa...."
Screenshot_20221204-044014_OGInsta%2B.jpg
 
TIMU ya Simba imemaliza kibabe mzunguko wa kwanza Ligi Kuu baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani ikifikisha pointi 34.

Mabao mawili ya Moses Phiri dakika ya 53, 61 na moja la Clatous Chama dakika ya 89 yametosha kuihakikishia Simba ushindi huo mbele ya Wagosi Wakaya.
Simba imependa kileleni mwa msimamo wa ligi ikifikisha pointi 34 baada ya michezo 15, miwili zaidi ya Yanga yenye 32.

Wagosi wa Kaya wameendelea kusalia nafasi ya 13 kwenye msimamo ikiwa na pointi 12 baada ya mechi 14.
Simba ililazimika kucheza pungufu baada ya kiungo wake Sadio Kanoute kuonyeshwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu mchezaji wa Coastal.

FT: Coastal Union 0-3 Simba
️' Chama
️' Phiri.
Screenshot_20221204-044135_OGInsta%2B.jpg
 
️' Phiri.View attachment 2435065
giphy.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom