Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20221120-063401_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20221120-063417_Opera%20Mini.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-063401_Opera%20Mini.jpg
    Screenshot_20221120-063401_Opera%20Mini.jpg
    159.4 KB · Views: 9
_127729635_gettyimages-1443260738.jpg

...wachezaji wa timu ya taifa la Iran wakati wa mchezo wao wa kwanza dhidi ya Uingereza. Wachezaji wote walikaa kimya wakati wimbo wao wa taifa ukichezwa. Ukimya ni kuonesha mshikamano dhidi ya waandamanaji wanaopinga unyanyasaji wa polisi wa maadili. Kukaa kimya ni ujumbe mujarabu kabisa.

Walipoteza mchezo na wakafikisha ujumbe
(picha ni ya BBC)
 
...kwa ambao sio wapenzi wa kabumbu, mshangao unaendelea ikiwa ndiyo kwanza wedikapu imeanza. ndugu yenu timu yangu ya taifa haijacheza ila nitaitaja ikishinda kwa sasa itoshe kusema tu, vigogo Argentina na Wajerumani wamepoteza mechi zao za kwanza, na bado.

....yaani baadhi yetu tunaofuatilia soka kindakindaki yaani ile kikurungwa kama kifirigiswa tuliamini kabisa muhindi hatotupiga lakini matokeo yake ndiyo haya sasa, sijui tumlaumu muhindi au mwenye banda umiza maana huyu ni Mtanzania mwenzetu kabisa na tunajuana kwa majina.... tusubiri atakuja kutueleza umeme ukirudi, kitendo cha yeye kuzima jenereta kila afutaimu ni kama kutotambua adha ya kukosa maji wakati kiingilio tumelipa na mpango wake wa kuweka changarawe kwenye njia ya kuingia bandani tushaung'amua, kodi ya njia hatuitaki .

1669243163237.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom