makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,442
Hii ni komoni, mataputapu, wanzuki, gongo ama ni chimpumu?....pale umeme unapokatika halafu unawasha jenereta.
Ile sauti inayosikika ndiyo kuzibua masikio, hachelewi kunasa ingine. Alisikika mlevi mmoja anayekaa jirani na zahanati