Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkimuona Makiwendo mwambieni uncle (mimi sio mjomba)[emoji1787][emoji1787] anampa hi sana. Anaruhusiwa kucheka na kila mtu, ma-uncle hatuna wivu wala. Ila jambo langu anitunzie..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jambo gani hilo we mzee
 
Mimi sio mjomba, wajomba wapo migombani wanapambania kombe huko, mie uncle[emoji1787][emoji1787]. Ukishindwa kunitunzia jambo langu tunavunja undugu..haha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu uncle wako na mahela mob wajomba wanakunywa mbege migombani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kesho nikitoka jon napitia kb hotel auntie kuna mtu naena kuonana naye sijui nitarudi saa ngapi kijijini kwangu na kesho kutwa naingia asubuhi
Alooooooh!!!
Mambo ya kurudi hayo yatajisumbukia Auntie... nenda kaenjoy kwanza...

Kb ni ipi hiyo Auntie? Ni Kebbys?
 
Back
Top Bottom