Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkimuona Makiwendo mwambieni uncle (mimi sio mjomba)[emoji1787][emoji1787] anampa hi sana. Anaruhusiwa kucheka na kila mtu, ma-uncle hatuna wivu wala. Ila jambo langu anitunzie..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahahahaha.KEY WORD 'jambo lako akutunzie' hadi nimepaliwa na bia hp.kwa kucheka

hahahaha aucle umetisha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitiii wapiii me mtu akiniquote najibu kama kawaida najua nakutana na mvua yangu ya maneno si nimeshamzoea umeshanikuta na mazoea na watu we unataka kunikatisha nao kesho tukiachana unigombanishe na watu nitacheka na nani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hebu Achana na hizo Heineken unakunywa hapo Auntie....
Tulale...
 
Mkimuona Makiwendo mwambieni uncle (mimi sio mjomba)[emoji1787][emoji1787] anampa hi sana. Anaruhusiwa kucheka na kila mtu, ma-uncle hatuna wivu wala. Ila jambo langu anitunzie..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Well received Mjomba....
Ila kutunza hilo jambo sasa!!!!!Mmmmmh..
 
Mimi sio mjomba, wajomba wapo migombani wanapambania kombe huko, mie uncle[emoji1787][emoji1787]. Ukishindwa kunitunzia jambo langu tunavunja undugu..haha!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujue wewe ni mjinga....
Kwamba wewe ni Uncle? Sawa...

Jambo limetunzwa....ila utekelezaji unafanyiwa kazi...
 
Back
Top Bottom