Makapuku Forum

Nina sababu ya kuandika vile sikukurupuka ila kama ilikukera niwie radhi. Nothing personal! Shunie
 

Imebidi nicheke bila kutarajia....

Sasa uzi kujaa Mashangazi wakajadili Issues zao nayo ni kitu ya kumfanya mtu hadi kutuandikia comment huko surely?

Anyway kama kuna kitu kingine tumemkosea tumuombe radhi pasipo hata kujua ni nini tumemkosea..

Ila story za Mashangazi ndiyo hatuachi.. Mashangazi tunakaribia kupokea Pension zetu...sasa anataka tujadili nini zaidi ya mipango mikakati ya kutumia Pension zetu


Mwisho... ila siyo mwisho kabisa...kwa niaba ya wote hapa nimkaribishe.. hapa kuna mengi ya kujifunza... AHSANTE..
 
Nina sababu ya kuandika vile sikukurupuka ila kama ilikukera niwie radhi. Nothing personal! Shunie
Sababu yako sisi mashangazi kupiga story zetu sasa ulitaka tukae tu kama mabubu tuweke magazeti na habari mchanganyiko tutoke mkuu usitupangie humu makapuku hili jukwaa watu tofauti wanakuja kusoma habari zinazopostiwa na we ukiwa mmojawapo tuache tu mashangazi wa makapuku tuishi tulivyozoea tupo kama ndugu humu hata kama baadhi hatujuani
 
Auntie umemalizaaaa
 
Acha kukuza mambo nishasema kama ilikukera niwie radhi! Nothing personal.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…