Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
swahibaKumbaf We.![]()
swahibaKumbaf We.![]()
Nini kimetokea Auntie?
Mashangazi tumefanyaje tena?Mweh!!!
Maana mahali niko saa hii hata kumwambia mtu "muone" siwezi![]()


Hata kumwambia mtu muone huwezi auntie nimecheka sanaaa
Anaitwa Conan Ledesma ni Golikipa wa Cadiz ambaye aliwahi mapema sana kuchukua hatua baada ya Shabiki kupata tatizo la moyo akiwa jukwaani, alikimbia kwa haraka mpaka kwa watu wa huduma ya kwanza na kubeba baadhi ya vifaa kisha akavitupa jukwaani ili huduma ya kwanza ianze.
it's amazing, kumchukia mtu hapa Jf tena ndani na fake I'd naona ni kiwango kikubwa cha chuki , sijui huko kwenye jamii inayo mzunguka kwenye watu halisi kiwango cha chuki kwa mtu huyo kitakuwa vipi!!Poker habari yako mkuu wangu hivi sisi mashangazi wa makapuku nini tumekukosea tukuombe hata msamaha kuna sehemu tuliona umetusema sana vibaya kupiga kwetu story ni shida kwako je hata habari tunazopost we huzioni kweli usiwe unatuchukia bila sababu mkuu usiwe na roho hiyo ya kuchukia watu tu mkuu sio vizuri kama kuna sehemu tuliwahi kukukosea sisi mashangazi wa makapuku tunaomba utusamehe.
Usimchukie hata siku moja mtu usiyemjua watu wenyewe tunaishi jf kwa I'd fake chuki ni kirusi kibaya sana mkuu kemea hiyo roho kama we ni mristo ikuondoke.
Inashangaza sana mkuu halafu huyo mtu ni mwanaume anayetusema sisi mashangazi wa makapuku ukimuuliza kwa nini anatuchukia hivyo jibu hana anabaki kimya na kila siku yupo makapuku kusoma habari zinazopostiwa acha tuishi nao hivyohivyoit's amazing, kumchukia mtu hapa Jf tena ndani na fake I'd naona ni kiwango kikubwa cha chuki , sijui huko kwenye jamii inayo mzunguka kwenye watu halisi kiwango cha chuki kwa mtu huyo kitakuwa vipi!!
binti mdogo sana lakini amefikia maamuzi mabaya yanayoweza kugharimu furaha ya maisha yake yote!Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia Happiness Mkolwe (27) Mkazi wa Ihanga Halmashauri ya Mji wa Njombe kwa tuhuma za kumuua Jackson Kihungo (6) Mtoto wa Shule ya Msingi Ihanga anayedaiwa kuwa ni Mtoto wa Mwanamke anayehusishwa kuwa na mahusiano na Mume wake (Mchepuko wa Mumewe).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issah amesema Mwanamke huyo alimchukua Mtoto alipokuwa akitoka salumi na kumsababishia kifo na kumfukia kwenye takataka za mbao kabla ya kushtukiwa alipokuwa akichimba shimo kwa ajili ya kumfukia.
“Alivyomsababishia kifo alimvua nguo na kumpeleka kwenye takataka za mbao alikochimba na kumfukia kwasababu ni laini lakini haikutosha aliamua kuchimba kaburi pembeni ili amfukie, Mama huyu alishindwa kuendelea kwakuwa Watu waliona”
Kamanda Issah amesema sababu ya Mwanamke huyo kutekeleza mauaji hayo ni wivu wa mapenzi kutokana na kupewa taarifa kuwa Mume wake aliyetengana nae kwa muda anakunywa pombe na Mwanamke mwingine.
View attachment 2353140
niliona hio comment ya huyo ndugu , na hata hakukua na sababu ya kusema hivyo kwenye mtiririko wa commet za ile mada, ila ni binadamu tulivyo ! tusipo sameheana na kuvumiliana hatufiki popote, so msamehe na kusonga mbele .Inashangaza sana mkuu halafu huyo mtu ni mwanaume anayetusema sisi mashangazi wa makapuku ukimuuliza kwa nini anatuchukia hivyo jibu hana anabaki kimya na kila siku yupo makapuku kusoma habari zinazopostiwa acha tuishi nao hivyohivyo
Tujitahidi kuzuia hasira zetu mwisho wake unakuwa mbaya sanabinti mdogo sana lakini amefikia maamuzi mabaya yanayoweza kugharimu furaha ya maisha yake yote!
Kweli kabisa kikubwa ni kusameheana tu mkuuniliona hio comment ya huyo ndugu , na hata hakukua na sababu ya kusema hivyo kwenye mtiririko wa commet za ile mada, ila ni binadamu tulivyo ! tusipo sameheana na kuvumiliana hatufiki popote, so msamehe na kusonga mbele .