Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220911-060114_OGInsta%2B.jpg
 
WhatsApp wameachia uwezo mpya ambao unawawezesha "admins" wa makundi kuweza kufuta ujumbe wowote uliotumwa kwenye kundi.

Admin ataweza kufuta ujumbe ndani ya siku 02 tangu ujumbe ulipotumwa! na watu wataweza kuona taarifa ya ujumbe kufutwa na admin yupi aliyefanya hivyo!
Screenshot_20220911-060023_OGInsta%2B.jpg
 
WhatsApp wameachia uwezo mpya ambao unawawezesha "admins" wa makundi kuweza kufuta ujumbe wowote uliotumwa kwenye kundi.

Admin ataweza kufuta ujumbe ndani ya siku 02 tangu ujumbe ulipotumwa! na watu wataweza kuona taarifa ya ujumbe kufutwa na admin yupi aliyefanya hivyo!View attachment 2353179
This is not good
 
Hata kumwambia mtu muone huwezi auntie nimecheka sanaaa

Bwana juzi kati nilikuwa chit chat nimepita tu kimyakimya kuna thread mtu anajipongeza kafikisha miaka kadhaa jf akataja forum za jf makapuku ikiwepo auntie

Sasa akatokea mkuu anaitwa poker acha atuseme vibaya ooh makapuku ilikuwa zamani sasa hivi wamejazana mashangazi wameiteka forum tu uko wanapiga tu story zao hakuna cha maana nikajisemea tu kimya kimya hivi hata magazeti na habari tofauti zinazopostiwa hazioni

Na hapohapo huyu poker anakuja sana makapuku kusoma habari zinazopostiwa nilivyoona likes zake imebidi tu nimwambie kama kuna tulichomkosea mashangazi wa makapuku tunamuomba msamaha sana halafu asiwe na roho ya kuchukia watu ambao hawajui wala hawajamkosea chochote sisi mashangazi wa makapuku hatunaga shida na mtu tunaishi kwa upendo na furaha na yeyote yule
hahahaha.hata sie wajomba na wazee wa makapuku hatuna shida na mtu kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom