Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimecheka sanaaaaaaa nimekutana na thread chit chat yaani yaani kuna mtu kacomment kuhusu makapuku eti mashangazi tumejazana tumegeuza kijiwe cha saloon hivi hata post ninazopost mtu haoni jamani yaani mwanaume unateseka na mambo ya wanawake ila jf
🤣🤣🤣🤣🤣
Stress za tozo hizo auntie. Akuje tumsaidie kuzipunguza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom