National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Vipi tufanye mchakato wa German ? Unaweza fundisha log ?Daah
Nilipata kusikia mwaka fulani kuwa huko canada waalimu waliwahi kuandamana wapunguziwe mishahara maana wanalipwa mishahara mikubwa mno
Nikasema acheni waafrika tudharauliwe tu hawa watu tusijifananishe nao hata kidogo




