Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Baada ya michezo 236 na kukimbiza LA LIGA kwa kucheza mechi zote kwa miaka sita mfululizo, juzi Inaki Williams amepata majeraha ambayo yanaweza kumfanya akae nje kwa muda.
Hatimae rekodi yake ya kutokosa mchezo wowote wa ligi hiyo imefika tamati.
Ikumbukwe Inaki alitembelea Ghana mwaka huu na amechagua kuvaa jezi ya taifa hilo kuelekea Qatar.
Hatimae rekodi yake ya kutokosa mchezo wowote wa ligi hiyo imefika tamati.
Ikumbukwe Inaki alitembelea Ghana mwaka huu na amechagua kuvaa jezi ya taifa hilo kuelekea Qatar.