Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteuwa Mzee Ramadhan Nyamka kuwa Kamishna wa Magereza akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Suleiman Mzee ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Mara.
Uteuzi wa Nyamka umeonyesha mwelekeo mpya katika teuzi za wakuu wa chombo hicho kinachorekebisha nidhamu za wahalifu, ambapo miaka ya karibuni waliteuliwa kutoka nje ya jeshi hilo.
Nyamka amepandishwa kutoka Kaimu Kamishna wa Magereza Huduma za Urekebu, kinyume na mtangulizi wake Brigedia Jenerali Suleiman Mzee aliyetokea Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

na mwingine huyo Malawi
hatujui kuhusu mishahara wanayolipwa ila bila shaka ni mikubwa sana, timu imesafiri ugenini Sudan kwa ajili ya Mini Tournament na ukumbuke imetoka Misri pia kwa Pre Season.