Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema linawasaka watuhumiwa wa wizi wa basi la daladala liliripotiwa kuibwa Agosti 23 mwaka huu maeneo ya Chanika.
Kwa mujibu wa taarifa iliyolewa leo Agosti 29, 2022 na Kaimu Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Wiliam Mkonda (pichani) imeeleza kuwa, Jeshi hilo pia limewakamata watuhumiwa 15 kwa tuhuma za uvunjaji na kuiba vifaa vya ujenzi katika ghala la Voila Trading Co (T) Ltd lilopo Kiwalani linalomilikiwa na raia wa China.
“Baada ya taarifa hizo Jeshi la Polisi liliendelea na ufuatiliaji ambapo Agosti 25 mwaka huu lilifanikiwa kulipata basi hilo limeegeshwa maeneo ya Tabata.