[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukome auntie na kiherehere chako we huoni kila siku watu wanalalamika na browser mpyaJamani leo nimesema wacha nitumie Browser[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitu nakutana nacho huku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Najikuta nimequote comment moja zaidi ya mara kumi[emoji28]
Sehemu ya kufuta sioni... inabidi nirudi back naquote tena...Aloooooooh!!!
Watu wa Browser wanawezaje haya makitu[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie niliingia sikuielewa sioni pa kutafuta chochote, nataka kulog out napo sipaoni aloooh!! Sijawahi ipenda[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huna bahati kipenziMwee mie hata sijaona jamani weka tena basi dear
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasikia picha zilikuwa zinatrend usiniambie hazijakufikiaNa mimi naombeni mnitumie jamani
Kikubwa uhai auntieMimi Browser imenishinda kabisa....
Ila ajabu wakati najoin JF nilikuwa natumia Browser.. na nadhani haikuwa na mambo mengi kama sasa...
Ilivyokuja App tu nikahamia huku.... Browser naweza kumaliza hata miezi na miezi nisiingie...
Kweli kwenye App wametusahau sana.. Notifications tu kipengele..
Karibu mwaya huku hakunaga shida kabisa tupo kama nduguHahaha wazee wa kukariri miandiko wengine mbona hatuwezi jamani
Basi ngoja na mimi nitulie huku kwanza maana kwa sasa sina kijiwe rasmi
Vile vijiwe vyangu vya zamani vyote siku hizi sivielewi tena nimevikacha
Hahaha tutafute pesa yote yanawezekanikaMwenzangu na nipakishua kweli[emoji23]
Weeee'haya mambo siyajui.. ni kitambo kidogo..
Tuyaongee chemba kesho basi..
Hata ile ile aliyoipost hapaHajanitumia, ndio namsubiri
Thank you momma naona nawe umejichimbia huku mimi hata sijafichwa nipo nipo tu narandaranda hukoWelcome dota. Na anayekuficha mwambie nataka mahari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hajanitumia, ndio namsubiri
Sasa kama kaifuta mimi naitoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata ile ile aliyoipost hapa
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Thank you momma naona nawe umejichimbia huku mimi hata sijafichwa nipo nipo tu narandaranda huko
We jichekeshe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuona wa kishua siku hizi sijui una id ngapi mwanangu au ndiyo muendelezo wa ule mkakati wa kupunguza attention ya wale ndugu zetu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mweee mimi na browser wapi na wapi mama mimi ni team app since day unoHivi sio wewe ndio kipenzi kikuu cha browser[emoji848][emoji848][emoji848]
Mmhh zilikuwa zinatrend kwa nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasikia picha zilikuwa zinatrend usiniambie hazijakufikia
Kwa kweli huku naona hamna mambo mengiKaribu mwaya huku hakunaga shida kabisa tupo kama ndugu
Haha mwee jamaniSasa kama kaifuta mimi naitoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni nini tena[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]