Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Litoke wapi Auntie kwa Kapuku mimi...

ESPY Huyo ndiyo ananiotesha mandoto makubwa makubwa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuote tu dada yangu, hatuwezi teseka kwenye uhalisia na kwenye ndoto kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusalimiane kwanza basi Auntie..
Sina Jeep jamani.. naomba hizi shutma zipuuzwe kabisa..[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] unafikiri naweza kukuelewa kirahisi rahisi auntie ebu niache bwanaa
 
Nakuona hapa mataa mbele yangu , kitu kama piruuuu.. tisha sanaaa una issue gani huku mikocheni mala ya tatu nakuona hapa unakata kushoto.. au umehamisha ofisi [emoji51][emoji51][emoji51]

Team mbaya mbaya hivi haikufungwa ila iliyotoa draw Jioni utakuwa maeneo yako nini nije na markup pen nipige kachataa kiduchu tu pembeni ya tyre
Aweeeeeh
 
HUKO YANGA KUNA KIGOGO ANAUTAKA URAIS
.
Uchaguzi Mkuu wa Yanga unatarajiwa kufanyika Julai 10, huku habari ZA NDAANI Kabisa zinasema kuwa mmoja wa vigogo wanaoifadhili timu hiyo anakipigia hesabu kitu cha urais wa klabu hiyo.
.
Habari kutoka ndani ya Yanga zilizopenyezewa kwenye kona hii, zinasema kigogo huyo anayetoka kwenye moja ya kampuni zinazoidhamini klabu hiyo ameanza kusuka mipango hiyo kitambo hata kabla mchakato wa Katibu Mpya ya klabu hiyo iliyohama kutoka kuendeshwa na wanachama na kuwa ya wanahisa (kampuni).
.
Inadaiwa, kigogo huyo amekuwa akifanya kila kitu kwa sasa ili kutengeneza mazingira mazuri ya kuonekana kwa wanachama
Screenshot_20220606-114646_OGInsta%2B.jpg
 
Back
Top Bottom